DAR-Wajumbe wa Mamlaka ya Rufani, Menejimenti na watumishi wa Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) inaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kutoa pole kwa familia, Jumuiyà ya Wafanyabiashara wa Kariakoo,ndugu,jamaa na marafiki kufuatia ajali ya kuporomoka kwa jengo Kariakoo jijini Dar es Salaam iliyotokea Novemba 16,2024.