Rais Dkt.Mwinyi aelekea Zimbabwe kushiriki Mkutano wa Dharura wa SADC


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimia na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo 19-11-2024, akielekea Nchini Zimbabwe kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, utakaofanyika tarehe 20 Novemba 2024, jijini Harare, Zimbabwe. (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimia na kuagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo 19-11-2024, akielekea Nchini Zimbabwe kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, utakaofanyika tarehe 20 Novemba 2024, jijini Harare, Zimbabwe. (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimia na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo 19-11-2024, akielekea Nchini Zimbabwe kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, utakaofanyika tarehe 20 Novemba 2024, jijini Harare, Zimbabwe. (Picha na Ikulu)

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news