Rais Dkt.Mwinyi ashiriki dhifa ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Waziri Mkuu wa China

SHANGHAI-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja na Mke wake, Mama Mariam Mwinyi wamehudhuria dhifa ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Waziri Mkuu wa China, Mhe. Li Qiang, katika Ukumbi wa Grand Hall.
Dhifa hiyo maalum ni sehemu ya mapokezi ya viongozi na wafanyabiashara kutoka mataifa mbalimbali, ambao wanatarajiwa kuhudhuria ufunguzi rasmi wa Maonesho ya 7 ya China International Import Expo (CIIE) kesho, tarehe 5 Novemba 2024.


📅 04 Novemba 2024

📍Shanghai China

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news