Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mradi wa Mauzo ya Nyumba za Chumbuni za Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika Ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.(Picha na Ikulu).

Baadhi ya wageni waalikwa na Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Mauzo ya Nyumba za Chumbuni Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia na kuzindua mradi wa huo hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Mauzo ya Nyumba za Chumbuni za Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC),hafla hiyo ya uzinduzi ilifanyika katika Ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.(Picha na Ikulu).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC), Ndg.Sultan Said (kushoto kwa Rais) akitowa maelezo ya Kitaalamu ya Mradi wa Mauzo ya Nyumba za Chumbuni, wakati wa Uzinduzi wa Mauzo ya Mradi wa Chumbuni, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiandika maoni yake kwa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) baada ya kutembelea maonesho ya mabenki katika Uzinduzi wa Mradi Mauzo wa Nyumba za Chumbuni, hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika Ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Meneja Mahusiano Mikopo ya Nyumba Benki ya NMB, Pauline Sangale akitoa maelezo ya utaratibu wa kupata mikopo kupita benki ya NMB, wakati akitembelea maonesho kabla ya kuzindua Mradi wa Mauzo wa Chumbuni, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC), Ndg.Sultan Said.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Meneja Mahusiano wa Mikopo ya Nyumba Benki ya Azania,Bi. Hellen Hassan Moka akitoa maelezo ya utaratibu wa kupata mikopo kupitia benki ya Azania, wakati akitembelea maonesho kabla ya kuzindua Mradi wa Mauzo wa Chumbuni, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, na kulia kwa Rais ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC),Ndg.Sultan Said.(Picha na Ikulu).