DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Dkt. Tewodros Beleke ambaye ni Mkurugenzi wa Programu za Dunia na Mwakilishi wa Susan Buffet Foundation leo Novemba 11, 2024 Ikulu jijini Dar es Salaam.