RAIS SAMIA AKUTANA NA MANUSURA WA AJALI YA BASI LA SHULE YA LUCKY VINCENT


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Sadhia Abdallah wa pili kulia Doreen Mshana wa kwanza (kulia)_ Wilson Tarimo wapili (kushoto), watoto hawa watatu ni manusura wa ajali ya basi la shule ya msingi Lucky Vincent iliyoua wanafunzi 32 na dereva mmoja mnamo mei 6, 2017 eneo la Rothia wilayani Karatu mkoani Arusha.Mwenyezi Mungu amewajalia heri wamekuwa wakubwa sasa wapo nchini Marekani wakiendelea na masomo ya Elimu ya Juu katika Vyuo Vikuu tofauti.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news