HomeHabari Tanzania yapangwa Kundi A michezo ya kufuzu AFCON U 17 Kanda ya CECAFA NA DIRAMAKINITANZANIA imepangwa Kundi A kwenye michezo ya kufuzu AFCON U17 Kanda ya CECAFA.Katika kundi A, Tanzania ipo na Uganda,Ethiopia na Burundi huku Kundi B likiwa na Somalia, Sudan Kusini, Sudan na Kenya. Tags Habari Michezo Facebook Twitter