RUVUMA-Katika hali ya kushangaza mke wa mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Serikali ya Mtaa kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameamua kujitokeza mbele ya hadhara na kukiri kuwa mume wake aliyefahamika kwa jina la Kocha hawezi uongozi.
Mwanamke huyo katika Mtaa wa Mfaranyaki Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma aliamua kumuombea kura Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kura.
Tags
Habari