"Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi, awe Mwanachadema, awe MwanaCCM, awe hana chama ana shida kati ya hizi mbili mosi; hakuwepo wakati wote wa zoezi hili, hivyo hajui anachokizungumza au pili; anafanya kazi ya CCM kwa makusudi kabisa,"Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Benson Kigaila.
Tags
Habari