Wakili Mkuu wa Serikali afanya mazungumzo na Msajili wa Baraza la Masoko ya Mitaji
Wakili Mkuu wa Serikali,Dkt.Ally Possi (aliyeketi kushoto) akimsikiliza Msajili wa Masoko ya Mitaji alipofika Ofisini kwa Wakili Mkuu wa Serikali kujitambulisha jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali,Dkt.Ally Possi (aliyesimama kushoto) akiwa na Msajili wa Baraza la Masoko ya Mitaji, Martin Kolikoli baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kushoto) akimkabidhi Jarida la Wakili Mkuu Msajili wa Baraza la Masoko ya Mitaji, Martin Kolikoli alipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali kwa lengo la kujitambulisha Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.