Waliofariki kwa mafuriko Tarime waagwa na kuzikwa

MARA-Miili nane ya watu wa familia moja waliofariki kwa kusombwa na maji Mtaa wa Bugosi Kata ya Nyamisangura Wilaya ya Tarime mkoani Mara wameagwa na kuzikwa leo huku mwili wa tisa wa mtoto wa mwaka moja bado haujapatikana.
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Kanali Evans Alfred Mtambi ndiye aliyewaongoza wananchi na viongozi mbalimbali wa mkoa huo kuaga miili ya wananchi hao waliokufa kutokana na mafuriko usiku wa Novemba 24,2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news