Matokeo ya utafiti leo Novemba 11,2024 kama kura zikipigwa, matokeo yatakuwa kama ifuatavyo:-
1. Mende. 35.6%
2. Maige 34.4%
3. Ngimi. 10%
4. Rehema. 9.5%
5. Sarota. 8.4%
6. Makata. 0.6%
7. Banoba. 1%
8. Lissu. 0.5%
9. Wengine 0%
Dondoo Muhimu:
1.Kamati na Viongozi wa juu wa TUCTA hawajaonesha kumbeba mgombea yeyote Hadi Sasa.
2.Ujuzi na Uzoefu wa kupiga Kampeni Mende umefanya arudie kuongoza
3.Demokrasia ya kujieleza na kupiga Kampeni Ipo juu
4 Kama Uchaguzi utafanyika baada ya SAA 12 jioni, Vurugu zinaweza Kutokea na matokeo yatakuwa tofauti kabisa na utafiti huu.
5.Wajumbe wengi wanaweza kupiga kura kwa kufuata vigezo vya Uchama, jinsia, Uwezo wa Mgombea ktk kujieleza, Kujiamini, Makundi Kama vijana na Takrima.
Asanteni na Watafiti Huru wataendelea kufanya utafiti.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿