DAR-Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akiongea na waandishi wa habari mapema leo ametoa taarifa ya maendeleo ya uokoaji ambapo amesema toka usiku hadi asubuhi ya saa moja kamili wameokolewa watu 5, tayari wameshapekwa hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
