Waziri Mhagama aipongeza DCEA kwa matokeo chanya ukamataji wa dawa za kulevya nchini

RUVUMA-Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, ameipongeza Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kufuatia ukamataji wa dawa za kulevya, akibainisha kuwa mafanikio hayo ni hatua muhimu katika kulinda jamii.
Aidha, ameihimiza kuendeleza mapambano ili kuhakikisha jamii inakuwa salama na huru dhidi ya athari za matumizi na biashara haramu ya dawa za kulevya.
Mhe. Jenista ameyasema hayo leo Novemba 30, 2024 alipotembelea banda la DCEA katika kilele cha wiki ya vijana kuelekea Siku ya UKIMWI Duniani.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news