Banda la Chuo cha Ustawi wa Jamii ISW) lavutia wengi Tamasha la Kimataifa la Maendeleo ya Filamu na Sanaa

DAR-Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW) kinashiriki Tamasha la Kimataifa la Maendeleo ya Filamu na Sanaa ambapo wanafunzi wa chuo hicho wamepata nafasi ya kushiriki katika mdahalo kuhusu Jinsia na Sanaa.mdahalo ambao umeitwa "Binti Longa Gender" na Kubadilishana mawazo na wasaanii na wawezeshaji katika mdahalo huo.
Tamasha hilo ambalo limeanza tarehe 11 Desemba na Kuisha tarehe 15 Desemba 2024 linafanyika katika viwanja vya Posta Kijitonyama Dar es Salaam ambapo linakutanisha wadau mbalimbali.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news