KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (CAF) imetupilia mbali malalamiko ya Guinea dhidi ya Tanzania.
Shirikisho la Mpira wa Miguu la Guinea liliwasilisha malalamiko CAF kuhusu uhalali wa mchezaji wa Taifa Stars,Muhammed Ame kucheza mechi dhidi ya Guinea.