DIRAMAKINI inawatakia Heri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2025 wadau wote
DAR-Uongozi wa DIRAMAKINI unawatakia Watanzania na wadau wake wote heri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2025.Asanteni kwa kuendelea kutuunga mkono. Mwaka 2025 ni mwendo wa habari tu.