DAR-Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya Desemba 4, 2024.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na EWURA nafuu hiyo ni kicheko kwa wamiliki wa vyombo vya moto na wazalishaji ingawa gharama za uagizaji mafuta zimeongezeka;
Tags
Bei ya Mafuta
Bei ya Mafuta Tanzania
Breaking News
Diesel
Diezeli na Petroli
EWURA Tanzania
Habari
Mafuta ya Taa
Petrol