Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 12,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1664.89 na kuuzwa kwa shilingi 1680.65 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2673.86 na kuuzwa kwa shilingi 2699.08.
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 215.61 na kuuzwa kwa shilingi 217.58 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 132.96 na kuuzwa kwa shilingi 134.27.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 12, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 642.31 na kuuzwa kwa shilingi 648.68 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 151.39 na kuuzwa kwa shilingi 152.57.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.44 na kuuzwa kwa shilingi 0.45 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2481.59 na kuuzwa kwa shilingi 2506.89.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1502.08 na kuuzwa kwa shilingi 1517.33 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3102.43 na kuuzwa kwa shilingi 3133.46.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.29 na kuuzwa kwa shilingi 18.39 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.26 na kuuzwa kwa shilingi 1.36.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.80 na kuuzwa kwa shilingi 0.80.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2359.16 na kuuzwa kwa shilingi 2382.75 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7678.30 na kuuzwa kwa shilingi 7739.97.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3009.11 na kuuzwa kwa shilingi 3139.91 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.68 na kuuzwa kwa shilingi 1.72.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 12th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED642.3149648.6851645.512-Dec-24
2ATS151.3873152.7286152.057912-Dec-24
3AUD1502.07621517.33521509.705712-Dec-24
4BEF51.639752.096851.868212-Dec-24
5BIF0.80220.79430.798212-Dec-24
6BWP174.1059176.3235175.214712-Dec-24
7CAD1664.89661680.95241672.924512-Dec-24
8CHF2673.87332699.08252686.477912-Dec-24
9CNY324.8456328.0037326.424612-Dec-24
10CUC98.298399.281398.789812-Dec-24
11DEM945.28931074.52091009.905112-Dec-24
12DKK332.829336.1099334.469412-Dec-24
13DZD17.679517.783117.731312-Dec-24
14ESP12.520112.630512.575312-Dec-24
15EUR2481.59872506.89132494.24512-Dec-24
16FIM350.3562353.4608351.908512-Dec-24
17FRF317.5735320.3827318.978112-Dec-24
18GBP3009.10663039.91253024.509512-Dec-24
19HKD303.46306.4867304.973312-Dec-24
20INR27.817628.077627.947612-Dec-24
21IQD1.80231.81751.809912-Dec-24
22IRR0.05620.05670.056412-Dec-24
23ITL1.07591.08541.080612-Dec-24
24JPY15.4815.631815.555912-Dec-24
25KES18.28818.399618.343812-Dec-24
26KRW1.6511.66451.657712-Dec-24
27KWD7678.30247739.97087709.136612-Dec-24
28MWK1.26411.36081.312412-Dec-24
29MYR532.5414537.1393534.840412-Dec-24
30MZM36.621536.930436.77612-Dec-24
31NAD132.956134.2629133.609512-Dec-24
32NGN1.53261.52811.530412-Dec-24
33NLG945.2893953.6722949.480712-Dec-24
34NOK212.0096214.0528213.031212-Dec-24
35NZD1365.00911379.3741372.191512-Dec-24
36PKR8.0598.56498.311912-Dec-24
37QAR647.2314653.5244650.377912-Dec-24
38RWF1.68271.72041.701612-Dec-24
39SAR627.8031633.9799630.891512-Dec-24
40SDR3102.43313133.45753117.945312-Dec-24
41SEK215.6156217.5769216.596312-Dec-24
42SGD1757.81121774.72811766.269712-Dec-24
43TRY67.664468.332667.998512-Dec-24
44UGX0.61980.65030.635112-Dec-24
45USD2359.15842382.752370.954212-Dec-24
46GOLD6368288.63616436284.36402286.468112-Dec-24
47ZAR132.9628134.2705133.616612-Dec-24
48ZMK83.21486.488284.851112-Dec-24
49ZWD0.44150.45040.445912-Dec-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news