Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 16,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2291.04 na kuuzwa kwa shilingi 2313.95 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7444.72 na kuuzwa kwa shilingi 7516.73.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 16, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2900.91 na kuuzwa kwa shilingi 2930.61 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.65 na kuuzwa kwa shilingi 1.69.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1612.39 na kuuzwa kwa shilingi 1628.05 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2568.18 na kuuzwa kwa shilingi 2592.37.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 209.32 na kuuzwa kwa shilingi 211.22 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 128.19 na kuuzwa kwa shilingi 129.25.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 623.78 na kuuzwa kwa shilingi 629.95 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.01 na kuuzwa kwa shilingi 148.32.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2408.34 na kuuzwa kwa shilingi 2532.89.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1561.22 na kuuzwa kwa shilingi 1476.53 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3008.55 na kuuzwa kwa shilingi 3038.63.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 17.79 na kuuzwa kwa shilingi 17.83 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.23 na kuuzwa kwa shilingi 1.32.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.60 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.77 na kuuzwa kwa shilingi 0.77.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 16th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED623.7856629.9548626.870216-Dec-24
2ATS147.0161148.3187147.667416-Dec-24
3AUD1461.22511476.53151468.878316-Dec-24
4BEF50.148650.592550.370616-Dec-24
5BIF0.7790.77130.775216-Dec-24
6BWP168.3914170.5381169.464816-Dec-24
7CAD1612.38621628.05181620.21916-Dec-24
8CHF2568.14212592.37062580.256416-Dec-24
9CNY315.0018318.0775316.539616-Dec-24
10CUC95.4696.414695.937316-Dec-24
11DEM917.99481043.4949980.744916-Dec-24
12DKK323.0502326.1887324.619416-Dec-24
13DZD17.156617.25717.206816-Dec-24
14ESP12.158612.265812.212216-Dec-24
15EUR2408.34082432.8872420.613916-Dec-24
16FIM340.2399343.2549341.747416-Dec-24
17FRF308.4038311.1319309.767916-Dec-24
18GBP2900.91432930.61772915.76616-Dec-24
19HKD294.6902297.6218296.15616-Dec-24
20INR27.028527.28127.154716-Dec-24
21IQD1.75021.7651.757616-Dec-24
22IRR0.05450.05510.054816-Dec-24
23ITL1.04481.0541.049416-Dec-24
24JPY14.93915.085415.012216-Dec-24
25KES17.794517.833917.814216-Dec-24
26KRW1.59881.61411.606516-Dec-24
27KWD7444.72487516.72957480.727116-Dec-24
28MWK1.22761.32151.274516-Dec-24
29MYR515.1877519.6384517.413116-Dec-24
30MZM35.564135.864135.714116-Dec-24
31NAD128.1478129.4083128.778116-Dec-24
32NGN1.49021.48571.487916-Dec-24
33NLG917.9948926.1357922.065216-Dec-24
34NOK206.7352208.541207.638116-Dec-24
35NZD1322.1591336.07471329.116816-Dec-24
36PKR7.83058.31918.074816-Dec-24
37QAR629.3028633.8547631.578716-Dec-24
38RWF1.65591.69971.677816-Dec-24
39SAR609.7731615.8053612.789216-Dec-24
40SDR3008.54833038.63383023.59116-Dec-24
41SEK209.321211.2251210.273116-Dec-24
42SGD1700.8461717.21711709.031516-Dec-24
43TRY65.55666.20165.878516-Dec-24
44UGX0.60370.63340.618616-Dec-24
45USD2291.03962313.952302.494816-Dec-24
46GOLD6119114.76786182180.2156150647.491416-Dec-24
47ZAR128.198129.446128.82216-Dec-24
48ZMK80.445683.611682.028616-Dec-24
49ZWD0.42870.43740.433116-Dec-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news