Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 18,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.61 na kuuzwa kwa shilingi 0.64 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.77 na kuuzwa kwa shilingi 0.77.Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 18, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2331.19 na kuuzwa kwa shilingi 2354.45 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7584.39 na kuuzwa kwa shilingi 7645.31.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2959.85 na kuuzwa kwa shilingi 2990.39 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.66 na kuuzwa kwa shilingi 1.70.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1632.11 na kuuzwa kwa shilingi 1647.97 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2600.27 na kuuzwa kwa shilingi 2624.80.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 213.27 na kuuzwa kwa shilingi 215.35 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 128.69 na kuuzwa kwa shilingi 129.76.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 635.70 na kuuzwa kwa shilingi 640.96 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 149.59 na kuuzwa kwa shilingi 150.91.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2446.53 na kuuzwa kwa shilingi 2471.23.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1478.17 na kuuzwa kwa shilingi 1493.66 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3055.49 na kuuzwa kwa shilingi 3086.05.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.07 na kuuzwa kwa shilingi 18.18 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.25 na kuuzwa kwa shilingi 1.34.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 18th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED634.7034640.9806637.84218-Dec-24
2ATS149.5892150.9147150.251918-Dec-24
3AUD1478.1751493.66311485.91918-Dec-24
4BEF51.026351.47851.252218-Dec-24
5BIF0.79250.78480.788718-Dec-24
6CAD1632.10711647.96671640.036918-Dec-24
7CHF2600.26622624.80492612.535518-Dec-24
8CNY320.0311323.1826321.606918-Dec-24
9DEM934.0621061.7587997.910418-Dec-24
10DKK328.0291331.2767329.652918-Dec-24
11ESP12.371412.480512.425918-Dec-24
12EUR2446.532471.23072458.880318-Dec-24
13FIM346.195349.2627347.728918-Dec-24
14FRF313.8017316.5775315.189618-Dec-24
15GBP2959.84672990.38692975.116818-Dec-24
16HKD299.9831302.979301.481118-Dec-24
17INR27.46127.717727.589318-Dec-24
18ITL1.06311.07251.067818-Dec-24
19JPY15.142215.290615.216418-Dec-24
20KES18.070818.181118.12618-Dec-24
21KRW1.62311.63821.630618-Dec-24
22KWD7584.39167645.31117614.851418-Dec-24
23MWK1.24911.34461.296818-Dec-24
24MYR522.0915526.9584524.524918-Dec-24
25MZM36.186636.491836.339218-Dec-24
26NLG934.062942.3454938.203718-Dec-24
27NOK208.0167210.02209.018318-Dec-24
28NZD1341.80341355.92781348.865618-Dec-24
29PKR7.96338.46018.211718-Dec-24
30RWF1.66151.70241.68218-Dec-24
31SAR620.4127626.5168623.464718-Dec-24
32SDR3055.49183086.04683070.769318-Dec-24
33SEK213.2672215.3487214.307918-Dec-24
34SGD1725.61891742.23031733.924618-Dec-24
35UGX0.61570.64590.630818-Dec-24
36USD2331.13862354.452342.794318-Dec-24
37GOLD6166327.8616229427.3556197877.60818-Dec-24
38ZAR128.6877129.7597129.223718-Dec-24
39ZMW81.631984.84583.238518-Dec-24
40ZWD0.43620.4450.440618-Dec-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news