Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 19,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.47 na kuuzwa kwa shilingi 18.58 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.28 na kuuzwa kwa shilingi 1.37.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 19, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.80 na kuuzwa kwa shilingi 0.80.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2383.05 na kuuzwa kwa shilingi 2406.88 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7749.50 na kuuzwa kwa shilingi 7821.91.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3028.62 na kuuzwa kwa shilingi 3060.59 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.75 na kuuzwa kwa shilingi 1.79.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1664.72 na kuuzwa kwa shilingi 1680.89 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2665.90 na kuuzwa kwa shilingi 2691.66.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 217.75 na kuuzwa kwa shilingi 219.89 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 132.03 na kuuzwa kwa shilingi 133.24.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 648.84 na kuuzwa kwa shilingi 655.25 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 152.92 na kuuzwa kwa shilingi 154.27.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.44 na kuuzwa kwa shilingi 0.45 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2500.77 na kuuzwa kwa shilingi 2526.02.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1505.85 na kuuzwa kwa shilingi 1521.87 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3125.84 na kuuzwa kwa shilingi 3157.10.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 19th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED648.8373655.2543652.045819-Dec-24
2ATS152.9203154.2753153.597819-Dec-24
3AUD1505.8491521.87021513.859619-Dec-24
4BEF52.162652.624452.393519-Dec-24
5BIF0.81010.80230.806219-Dec-24
6BWP174.2009176.4243175.312619-Dec-24
7CAD1664.7221680.89951672.810719-Dec-24
8CHF2665.90172691.65732678.779519-Dec-24
9CNY327.1442330.3839328.764119-Dec-24
10CUC99.2937100.286799.790219-Dec-24
11DEM954.86221085.40251020.132319-Dec-24
12DKK335.2253338.5585336.891919-Dec-24
13DZD17.848617.953217.900919-Dec-24
14ESP12.646912.758412.702719-Dec-24
15EUR2500.77222526.02062513.396419-Dec-24
16FIM353.9042357.0403355.472319-Dec-24
17FRF320.7896323.6272322.208419-Dec-24
18GBP3028.61763060.58863044.603119-Dec-24
19HKD306.6751309.7379308.206519-Dec-24
20INR28.061628.323928.192819-Dec-24
21IQD1.82051.83591.828219-Dec-24
22IRR0.05670.05730.05719-Dec-24
23ITL1.08671.09641.091619-Dec-24
24JPY15.505615.659615.582619-Dec-24
25KES18.473318.585918.529619-Dec-24
26KRW1.65861.67461.666619-Dec-24
27KWD7749.50257821.91027785.706419-Dec-24
28MWK1.27691.37461.325719-Dec-24
29MYR533.4787538.0908535.784819-Dec-24
30MZM36.992437.304437.148419-Dec-24
31NAD131.992133.2905132.641319-Dec-24
32NGN1.54071.53621.538519-Dec-24
33NLG954.8622963.33959.096119-Dec-24
34NOK212.5559214.6279213.591919-Dec-24
35NZD1365.9641380.34571373.154819-Dec-24
36PKR8.13918.65018.394619-Dec-24
37QAR653.7859660.1426656.964219-Dec-24
38RWF1.75151.79021.770919-Dec-24
39SAR634.2958640.4683637.382119-Dec-24
40SDR3125.84373157.10223141.47319-Dec-24
41SEK217.7494219.8867218.818119-Dec-24
42SGD1764.82971781.42251773.126119-Dec-24
43TRY68.053568.72668.389719-Dec-24
44UGX0.62940.66030.644819-Dec-24
45USD2383.04952406.882394.964819-Dec-24
46GOLD6300910.86086366733.61226333822.236519-Dec-24
47ZAR132.0322133.2448132.638519-Dec-24
48ZMK83.600786.89185.245819-Dec-24
49ZWD0.44590.4550.450419-Dec-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news