Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 24,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 654.68 na kuuzwa kwa shilingi 661.12 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 154.29 na kuuzwa kwa shilingi 155.66.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 23, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.45 na kuuzwa kwa shilingi 0.46 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2498.23 na kuuzwa kwa shilingi 2523.69.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1498.94 na kuuzwa kwa shilingi 1514.89 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3135.49 na kuuzwa kwa shilingi 3166.81.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.64 na kuuzwa kwa shilingi 18.75 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.29 na kuuzwa kwa shilingi 1.39.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.82 na kuuzwa kwa shilingi 0.82.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2404.45 na kuuzwa kwa shilingi 2428.5 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7901.86 na kuuzwa kwa shilingi 7977.32.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3010.86 na kuuzwa kwa shilingi 3042.67 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.71 na kuuzwa kwa shilingi 1.77.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1668.95 na kuuzwa kwa shilingi 1685.04 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2676.67 na kuuzwa kwa shilingi 2603.14.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 217.63 na kuuzwa kwa shilingi 219.74 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 130.13 na kuuzwa kwa shilingi 131.39.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 23rd,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED654.6833661.1222657.902724-Dec-24
2ATS154.294155.6611154.977524-Dec-24
3AUD1498.93751514.89831506.917924-Dec-24
4BEF52.631253.097152.864124-Dec-24
5BIF0.81720.80950.813324-Dec-24
6BWP173.3612175.5806174.470924-Dec-24
7CAD1668.94941685.05411677.001824-Dec-24
8CHF2676.67312703.13892689.90624-Dec-24
9CNY329.4181332.6986331.058324-Dec-24
10CUC100.1856101.1875100.686624-Dec-24
11DEM963.43931095.15221029.295724-Dec-24
12DKK335.041338.3113336.676224-Dec-24
13DZD17.870717.975317.92324-Dec-24
14ESP12.760512.87312.816824-Dec-24
15EUR2498.22922523.69722510.963224-Dec-24
16FIM357.0832360.2474358.665324-Dec-24
17FRF323.6711326.5342325.102624-Dec-24
18GBP3010.85913042.66773026.763424-Dec-24
19HKD309.4458312.5362310.99124-Dec-24
20INR28.255828.519928.387924-Dec-24
21IQD1.83691.85241.844624-Dec-24
22IRR0.05720.05780.057524-Dec-24
23ITL1.09651.10621.101424-Dec-24
24JPY15.296515.447515.37224-Dec-24
25KES18.639218.752918.69624-Dec-24
26KRW1.65531.67031.662824-Dec-24
27KWD7801.86077877.32337839.59224-Dec-24
28MWK1.28831.38691.337624-Dec-24
29MYR535.8715540.5075538.189524-Dec-24
30MZM37.324737.639537.482124-Dec-24
31NAD130.157131.4379130.797524-Dec-24
32NGN1.56331.55871.56124-Dec-24
33NLG963.4393971.9832967.711224-Dec-24
34NOK211.7344213.7726212.753524-Dec-24
35NZD1355.6321369.91691362.774424-Dec-24
36PKR8.20198.71218.45724-Dec-24
37QAR659.6586666.0724662.865524-Dec-24
38RWF1.71261.77521.743924-Dec-24
39SAR640.1639646.2214643.192624-Dec-24
40SDR3135.45963166.81423151.136924-Dec-24
41SEK217.6313219.7399218.685624-Dec-24
42SGD1772.15171788.68671780.419224-Dec-24
43TRY68.27768.948268.612624-Dec-24
44UGX0.6290.65990.644424-Dec-24
45USD2404.45542428.52416.477724-Dec-24
46GOLD6291954.96536356598.756324276.857724-Dec-24
47ZAR130.1316131.3939130.762724-Dec-24
48ZMK84.351687.671586.011524-Dec-24
49ZWD0.44990.4590.454524-Dec-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news