Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 30,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1655.98 na kuuzwa kwa shilingi 1672.08 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2643.55 na kuuzwa kwa shilingi 2669.68.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 30, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 216.49 na kuuzwa kwa shilingi 218.58 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 127.29 na kuuzwa kwa shilingi 128.52.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 648.43 na kuuzwa kwa shilingi 654.74 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 152.81 na kuuzwa kwa shilingi 154.16.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.44 na kuuzwa kwa shilingi 0.45 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2483.85 na kuuzwa kwa shilingi 2509.02.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1480.46 na kuuzwa kwa shilingi 1495.50 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3105.53 na kuuzwa kwa shilingi 3136.59.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.46 na kuuzwa kwa shilingi 18.57 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.27 na kuuzwa kwa shilingi 1.37.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.80 na kuuzwa kwa shilingi 0.80.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2381.31 na kuuzwa kwa shilingi 2405.12 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7734.28 na kuuzwa kwa shilingi 7796.43.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2989.25 na kuuzwa kwa shilingi 3020.35 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.71 na kuuzwa kwa shilingi 1.76.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 30th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED648.4334654.7395651.586530-Dec-24
2ATS152.8085154.1625153.485530-Dec-24
3AUD1480.45851495.50361487.981130-Dec-24
4BEF52.124552.585952.355230-Dec-24
5BIF0.8090.80170.805330-Dec-24
6BWP170.5016173.6497172.075630-Dec-24
7CAD1655.98531672.08011664.032730-Dec-24
8CHF2643.54682669.68592656.616330-Dec-24
9CNY326.2377329.4956327.866630-Dec-24
10CUC99.2211100.213399.717230-Dec-24
11DEM954.16391084.60881019.386430-Dec-24
12DKK333.0639336.3569334.710430-Dec-24
13DZD17.646817.72817.687430-Dec-24
14ESP12.637612.749112.693430-Dec-24
15EUR2483.94132509.02122496.481230-Dec-24
16FIM353.6454356.7792355.212330-Dec-24
17FRF320.555323.3905321.972830-Dec-24
18GBP2989.25463020.34973004.802130-Dec-24
19HKD306.8101309.8743308.342230-Dec-24
20INR27.86228.122527.992230-Dec-24
21IQD1.81921.83461.826930-Dec-24
22IRR0.05670.05730.05730-Dec-24
23ITL1.0861.09561.090830-Dec-24
24JPY15.088815.238715.163730-Dec-24
25KES18.459718.572418.51630-Dec-24
26KRW1.61761.62951.623530-Dec-24
27KWD7734.27837796.42787765.35330-Dec-24
28MWK1.27591.37361.324830-Dec-24
29MYR532.9693537.457535.213230-Dec-24
30MZM36.953937.265637.109730-Dec-24
31NAD127.2807128.5329127.906830-Dec-24
32NGN1.54731.54271.54530-Dec-24
33NLG954.1639962.6256958.394830-Dec-24
34NOK209.7199211.7369210.728430-Dec-24
35NZD1341.62831356.24721348.937730-Dec-24
36PKR8.13028.6368.383130-Dec-24
37QAR653.4871659.479656.483130-Dec-24
38RWF1.70651.7581.732330-Dec-24
39SAR634.6767640.3408637.508730-Dec-24
40SDR3105.53273136.5883121.060430-Dec-24
41SEK216.4903218.5817217.53630-Dec-24
42SGD1753.28151769.77191761.526730-Dec-24
43TRY68.056868.104868.080830-Dec-24
44UGX0.62410.65480.639530-Dec-24
45USD2381.30692405.122393.213530-Dec-24
46GOLD6254478.84046318731.2646286605.052230-Dec-24
47ZAR127.2936128.5185127.90630-Dec-24
48ZMK83.388786.67185.029930-Dec-24
49ZWD0.44560.45460.450130-Dec-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news