Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 4,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1683.23 na kuuzwa kwa shilingi 1700.85 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3416.14 na kuuzwa kwa shilingi 3450.29.Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 4, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.10 na kuuzwa kwa shilingi 20.23 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.39 na kuuzwa kwa shilingi 1.49.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.68 na kuuzwa kwa shilingi 0.71 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2598.38 na kuuzwa kwa shilingi 2624.36 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8465.67 na kuuzwa kwa shilingi 8533.95.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3285.65 na kuuzwa kwa shilingi 3319.81 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.86 na kuuzwa kwa shilingi 1.92.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1850.96 na kuuzwa kwa shilingi 1869.07 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2935.35 na kuuzwa kwa shilingi 2963.37.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 235.99 na kuuzwa kwa shilingi 238.29 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 143.62 na kuuzwa kwa shilingi 144.83.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 707.44 na kuuzwa kwa shilingi 714.42 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 166.74 na kuuzwa kwa shilingi 168.21.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.48 na kuuzwa kwa shilingi 0.49 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2730.89 na kuuzwa kwa shilingi 2759.51.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 4th,2024
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED707.4454714.4226710.93404-Dec-24
2ATS166.7379168.2153167.476604-Dec-24
3AUD1683.22811700.84771692.037904-Dec-24
4BEF56.875957.379457.127604-Dec-24
5BIF0.88420.87480.879504-Dec-24
6CAD1850.9591869.06921860.014104-Dec-24
7CHF2935.3552963.36952949.362204-Dec-24
8CNY356.6553360.1773358.416304-Dec-24
9DEM1041.14131183.47691112.309104-Dec-24
10DKK366.247369.8417368.044404-Dec-24
11ESP13.789613.911313.850404-Dec-24
12EUR2730.89342759.51452745.20404-Dec-24
13FIM385.8822389.3016387.591904-Dec-24
14FRF349.7754352.8694351.322404-Dec-24
15GBP3285.64683319.81543302.731104-Dec-24
16HKD333.8399337.174335.50704-Dec-24
17INR30.694830.981630.838204-Dec-24
18ITL1.18491.19541.190204-Dec-24
19JPY17.368817.540217.454504-Dec-24
20KES20.103520.226320.164904-Dec-24
21KRW1.85191.87031.861104-Dec-24
22KWD8465.97248533.9498499.960704-Dec-24
23MWK1.39221.49881.445504-Dec-24
24MYR581.6826586.7114584.19704-Dec-24
25MZM40.322440.662540.492504-Dec-24
26NLG1041.14131050.37421045.757704-Dec-24
27NOK234.856237.1231235.989604-Dec-24
28NZD1527.58541543.64861535.61704-Dec-24
29PKR8.88579.44359.164604-Dec-24
30RWF1.8621.92191.891904-Dec-24
31SAR691.6093698.4139695.011604-Dec-24
32SDR3416.13823450.29963433.218904-Dec-24
33SEK235.9908238.2944237.142604-Dec-24
34SGD1932.16561950.47191941.318704-Dec-24
35UGX0.67880.71220.695504-Dec-24
36USD2598.37622624.362611.368104-Dec-24
37GOLD6861765.9856931197.1966896481.5904-Dec-24
38ZAR143.6234144.829144.226204-Dec-24
39ZMW93.349197.018995.18404-Dec-24
40ZWD0.48620.49610.491104-Dec-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news