1. Mauzo ya Bidhaa Nje
Ongezeko la mauzo ya bidhaa kama mazao ya kilimo na dhahabu limechangia ongezeko la mapato ya fedha za kigeni.
Kwa miezi kadhaa sasa kumekua na ratio kubwa sana ya mauzo ya bidhaa zetu nje, ama huduma,mali ghafi au processed ambazo zimetupa hii stability tunayoiona leo.
Mazao kama korosho, maparachichi yakiwemo madini ya dhahabu na mengineyo vimetubeba sana.
BoT wanasema katika mwaka ulioishia Julai, 2024 tulikua na Export Turnover kwa maana ya huduma na bidhaa ya hadi 34 Trillion huku ukuaji ukiwa ni mkubwa sana, na haya ndo in a long run yametupa stability ya shilling yetu dhidi ya USD.
2. Utalii na Uwekezaji kuimarika
Utalii umeimarika sana huku uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nje (FDI) ukiongezeka. Mfano taarifa ya TIC inasema katika 1st Quarter ya FY 2024 pekee Tanzania imekaribisha uwekezaji wa almost 1.6 Billion USD ikiwa ni ongezeko la 53% kulinganisha na same period last year huku projection ikiwa ni ukuaji wa Hadi 60% annually, haya sio bahati mbaya bali juhudi za Rais Samia
4. Sera za Fedha Thabiti (Monetary Policy)
Hapa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wanabeba maua yao maana imeweka sera madhubuti za kudhibiti mzunguko wa fedha, kusaidia ustawi wa shilingi ikiwemo kudhibiti inflation ambapo Tanzania over the period of time ime maintain 3-5% scale ya inflation ili kuwa na uchumi unaweza thibitiwa.
Hapa ndipo utagundua mama ana unaupiga mwingi.
Hashimu Mnubi,
Mtafiti wa masuala ya Fedha, Ubalozi wa Tanzania Oman.