Ni kwenye eneo la Vyuo Vya Maendeleo ya Wananchi vya majaribio Zanzibar na uendeshaji wa programu za ‘Elimu Haina Mwisho’, ECD- Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Watoto na ‘Mpira Fursa’- Maendeleo ya mpira wa miguu kwa Wanawake na Wanaume watoto na vijana.Pichani kushoto ni Bwana Khaled Masoud Wazir, Naibu Katibu Mkuu (Utawala), Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, na Maggid Mjengwa, Mkurugenzi, KTO- Karibu Tanzania Organization, Shirika lisilo la Kiserikali. Hafla hiyo imefanyika Jumanne, Novemba 10, 2024 jijini Zanzibar.
Tags
Habari
Karibu Tanzania Organization (KTO)
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Wizara ya Elimu Zanzibar