MANYARA-Wadau wa madini wakiangalia madini ya vito yaliyowasilishwa katika Eneo Tengefu la Mirerani ikiwa ni sehemu ya mnada wa madini ya vito unaotarajiwa kufanyika kesho Desemba 14, 2024 Wilayani Simanjiro mkoani Manyara ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde.