NAIBU waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Tanzania imepiga hatua kubwa katika huduma za Kuzalisha, Kusafirisha na Kusambaza Umeme unaotokana na Gesi asilia ambapo inategemewa nyumba 1,000 kuunganishwa na gesi asilia katika mwaka wa fedha 2024/25 na hadi sasa nyumba nyingine 1500 tayari zimeunganishwa na mpango huo.
Dkt. Biteko ameyasema hayo katika mahojiano maalum aliyoyafanya hivi karibuni na Shirika la Utangazaji la Uingereza - BBC jijini Dar es Salaam.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo