SHINYANGA-Familia moja imenusurika kifo Desemba 20,2024 majira ya saa 9 mchana, wakati gari aina ya Harrier lenye namba za usajili T223 DQR ambalo lilikuwa likivutwa na gari aina ya Noah lenye namba za usajili T.885 CQG kupata ajali katika eneo la Kizumbi, Manispaa ya Shinyanga.
Gari hilo liliteleza baada ya bomba la kuvutia gari kukatika, na hatimaye kutumbukia mtaroni.Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, Janeth Magomi, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa hakukuwa na kifo chochote.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo