Magazeti leo Desemba 26,2024

Nilitaka kujiua siku chache kabla ya harusi yetu!

NILIKUWA kwenye maandalizi ya mwisho ya harusi yangu na mchumba wangu mtarajiwa nilipopata ujumbe mfupi kwenye simu yangu kutoka kwa mpenzi wangu Juma tuliyepanga kufunga ndoa naye kwamba amesimamisha mipango yote ya kufunga ndoa na kuwa alikua amepata kipenzi chake cha roho.

Huyu ni mpenzi wake wa awali na walikua katika maandalizi yao ya kuweza kufunga ndoa siku chache zijazo, sikuamini ujumbe niliokua nausoma kwenye simu yangu kwa kudhani kuwa nilikua kwenye ndoto ya mchana.

Nilinawa uso na kuusoma tena na tena, lakini ujumbe ulikua ni ule ule uliokua unasomeka hivi “Josphina nautuma ujumbe huu nikidhani huu buheri wa afya, ningependa nikutaarifu kuwa usitishe mipango ya harusi, nimekipata kipenzi changu cha roho kwa jina Juliet na ambaye napanga kufunga ndoa naye hapo mbeleni, pole saana”.

Sikuamini nilichokisoma, punde tu niliporudia kusoma nilipandwa na hasira, na kushikwa na msongo wa mawazo nisijue la kufanya, nilishindwa kujua kwanini mpenzi wangu aliamua kunitendea hayo baada ya kuwa naye kwenye uhusiano kwa miaka mitatu.

Nilipomfikiria Juma hapo ndipo msongo wa mawazo ulizidi, nilitamani ardhi kupasuka inimeze nikiwa uhai kwa kuwa singeweza kustahimili aibu ya kuachwa na mpenzi siku chache kabla ya kufunga ndoa.

Nilitaka kuyasikia niliyoyasoma kwenye ujumbe kutoka kinywani mwa Juma, hivyo basi niliamua kumfuata nyumbani kwao kuweza kupata hakikisho kutoka kwake ni kweli alikua ameamua kuniacha.

Nilipowasili kwao sikumpata yeyote bali mlinzi wa getini aliyeniarifu kuwa wote hawakuwepo, nilijaribu kumpigia simu dada yake Juma niliyekuwa na uhusiano wa karibu sana naye kama rafiki, lakini hakuweza kuipokea simu yangu.

Kwa nilitaka kujitoa uhai kwa kujirusha katikati ya barabara ili nigongwe na gari, lakini kwa bahati nzuri rafiki yangu aliyekua karibu aliweza kugundua nia yangu na kuweza kunipeleka nyumbani.

Nilipowasili nyumbani nilienda moja kwa moja kwenye chumba changu cha kulala na kujifungia, sikutaka kuzungumza na yeyote ule, bali mpenzi wangu ambaye hakuwa karibu wakati huo, kwa hasira nilitiririkwa na machozi na kulia kwa sauti ya chini.

Dada zangu waligundua kuwa nilikua mwenye mawazo, hivyo wakaamua kuja kutaka kujua kilichonikwaza, walijaribu kugonga mlango lakini sikutaka kuwafungulia kwa kuwa nilitaka kukaa pekee yangu.

Baada ya saa manne hivi niliskia sauti ikiita, nikaamua kuufungua mlango, kwa huzuni mama yangu aliniuliza kilichonifanya niwe na huzuni hivyo.

Nilimueleza yaliyotokea na nikaweza kumuonesha ujumbe niliotumiwa na Juma, pia naye alipigwa na butwaa, lakini akaniapa hakikisho angenisaidia kuweza kupata suluhu.

Aliniarifu kuwa pia naye aliweza kuyapitia hayo kwani mume wake ambaye ni baba yangu alijaribu kumtaliki lakini akaweza kupigania penzi lake kwa kupata usaidizi kutoka kwa Dr Bokko.

Hivyo basi aliweza kuwapiga simu Dr Bokko na kuweza kuulizia siku ya kuweza kukutana nao, siku iliyofuata nilikutana na Dr Bokko nikamueleza kilichotokea, alinipa hakikisho ningempata mpenzi wangu kwa urahisi. Siku mbili baadaye nilisikia sauti ya gari ikiita kwenye geti letu.

Nilipoenda kuangalia sikuamini niliyoyaona, alikuwa ni mpenzi wangu Juma, alitoka kwenye gari na kuweza kupiga magoti na kuniomba msamaha kwa yote aliyonitendea.

Ukiona mambo hayaendi kama unavyotaka, basi usisite kuwasiliana na Dr Bokko kwa namba +255618536050, mtaalamu huyu amesaidia watu wengi ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kwa miaka mingi sasa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news