Mkutano wa Pili wa Tume ya Utumishi wa Umma kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kuanza leo Morogoro
DODOMA-Mkutano wa Pili wa Tume ya Utumishi wa Umma kwa mwaka wa fedha 2024/2025 unatarajiwa kufanyika kwa muda wa wiki tatu katika Ukumbi wa NSSF mjini Morogoro kuanzia Desemba 2,2024 hadi Desemba 20,2024.