TULIISHI mjini Kisumu ambao kwa kawaida huwa ni mji ambao huwa na joto jingi kutokana na uwepo wa ziwa la Victoria, mtoto wangu alianza kuonyesha dalili za kuwa na joto jingi mwilini na hapo mimi na mume wangu tukaona kwamba pengine alikuwa na malaria kutokana na uwepo wa joto jingi.
Tulimnunulia dawa za kujikinga kutokana na malaria na kila alipopata nafuu shughuli zetu zilirejea kama kawaida, muda uliposonga hali ilikuwa vile vile na tulijitwika jukumu la kumnunulia dawa za malaria bila hata ya kumpeleka kwenye zahanati au hospitali yeyote tajika mjini Kisumu.
Wakati mwingine hali yake ilikuwa imedhoofika sana na alianza kuwa na joto jingi mwilini, alipoteza uwezo wa kula na kila alipojaribu kula hata chakula kidogo alitapika mara kwa mara.
Hali ikawa mbaya zaidi kwani alitetemeka mwili mzima suala lilopelekea mimi na mume wangu kutafuta huduma za hospitalini.
Alitibiwa na baada ya wiki moja tukarejea naye nyumbani, ama kwa hakika hali ilirejea na tukafurahia kuona mtoto wetu akiwa katika hali nzuri, siku zilipoenda ndipo mambo yalipoanza kubadilika.
Mara mtoto wetu alilalamikia maumivu ya kichwa kila mara, alipoteza tena uwezo wa kula na mara hii alitapika damu, hii ilikuwa tu ni ishara ya kwamba ugonjwa ule ulikuwa umerudi mara hii kwa nguvu zaidi kushinda hapo awali.
Tulimkimbiza hospitalini kwa ajili ya matibabu, wiki mbili kwenye hospitali hapakuwa na ishara kwamba angepata nafuu ya haraka kwani hakuonyesha dalili zozote za kupona kwa wakati ule.
Mioyo yetu ilishtuka kwani Madaktari walisema kuwa ugonjwa ule ulikuwa umemlemea sana.
Baada ya kukaa Hospitalini wiki mbili tulitafuta matibabu mbadala, ndipo Juma ambaye alikuwa rafiki wa familia yetu akatuelekeza kwa Dr Bokko aliyepatikana mjini Kericho.
Tulijitwika jukumu na kusafiri hadi mjini Kericho kwani tulitaka mtoto wetu awe buheri wa afya kwani ndiye alikuwa mtoto wetu wa pekee.
Tulifika ofisini kwa Dr Bokko, alimfanyia uchunguzi na hapo akatuarifu ya kwamba alikuwa na Kifua Kikuu ambapo iwapo angekaa kwa wiki mbili zaidi basi angekua keshafariki.
Dr Bokko alimshughulikia na hapo akatupa tumaini kwamba baada ya siku tatu hali yake itakuwa shwari kabisa.
Tulirejea nyumbani na kwa kweli baada ya siku tatu, alianza kucheza na marafiki zake huku akionekana kuwa mchangamfu kweli, hali yake ya kula ilirejea na tangu siku ile mtoto wetu hajawahi tena kuugua ugonjwa wa kifua kikuu.
Dr Bokko ana uwezo wa kutibu magonjwa kama vile kifafa na msukumo wa damu kwa muda wa siku tatu pekee, pia ana uwezo wa kusuluhishia migogoro ya ndoa ambayo huwa kero kubwa kwa wanandoa wengi.
Isitoshe ni mtu ambaye anaweza kufanya biashara yako iliyoanguka kunawiri tena.
Ukiona mambo hayaendi kama unavyotaka, basi usisite kuwasiliana na Dr Bokko kwa namba +255618536050, mtaalamu huyu amesaidia watu wengi ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kwa miaka mingi sasa.