MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU NCHINI

DODOMA-Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Nchini.Ujumbe huo umeongozwa na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Nchini Mhe. Jaji Imani Daud Aboud.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amekutana na Ujumbe kutoka Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Nchini, tarehe 04 Desemba, 2024 Ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news