DAR-Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari ameungana na Viongozi wa Serikali na Wananchi kuaga Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, tarehe 02 Desemba 2024, Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Tags
Habari
Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri