Mwenyekiti wa INEC akagua mafunzo ya watendaji Uboreshaji wa Daftari ngazi ya jimbo mkoani Arusha


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele (kushoto) akikagua mafunzo ya Watendaji wa Uboreshaji ngazi ya jimbo yaliyokuwa yakifanyika kwa siku mbili katika kituo cha Shule ya Sekondari Ilboru mkoani Arusha alipotembelea mafunzo hayo leo Disemba 5, 2024 ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambao unatarajia kuanza Disemba 11 hadi 17, 2024. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele (kushoto) akikagua mafunzo ya Watendaji wa Uboreshaji ngazi ya jimbo yaliyokuwa yakifanyika kwa siku mbili katika kituo cha Shule ya Sekondari Arusha mkoani Arusha alipotembelea mafunzo hayo leo Disemba 5, 2024 ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambao unatarajia kuanza Disemba 11 hadi 17, 2024. (Picha na INEC).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news