DAR-Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) ni taasisi ya Serikali iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Viwanja vya Ndege Tanzania, Na. 08 ya Mwaka 2024.
Lengo kuu la kuanzishwa kwa TAA ni kuendesha, kusimamia, na kuendeleza Viwanja vya Ndege vya Serikali vya Tanzania Bara.