Ni ujumbe gani Rais Dkt.Mwinyi anao kwako mwananchi? Usikose kesho saa 1:00 usiku, mjulishe na mwenzako

ZANZIBAR-Tukiwa tunauaga mwaka 2024 na kujiandaa kuukaribisha mwaka mpya 2025, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, atahutubia Taifa ambapo atatoa salamu zake kwa Wananchi.
Ni ujumbe gani Rais Dkt. Mwinyi anao kwako, Mwananchi? Usikose kuangalia saa moja kamili usiku, tarehe 30 Desemba 2024, mubashara kupitia televisheni ya ZBC na nyingine za Zanzibar na Bara.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news