DAR-Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) unawajulisha wanachama wake kwamba, Ofisi za PSSSF Kanda ya Temeke zimehama kutoka jengo la PSSSF House kwenda jengo la PSSSF Plaza (zamani Quality Plaza) eneo la banda la ngozi barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam.