Polisi watoa ufafanuzi madai ya aliyedhaniwa kusafirisha kichwa cha binadamu
SINGIDA-Jeshi la Polisi mkoani Singida limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ambayo inamhusu mtu aliyedhaniwa kusafirisha kichwa cha binadamu;