Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisaini moja ya jezi mpya za Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) wakati wa uzinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Viwanja vya Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi B Unguja tarehe 26 Januari 2024 na kulia ni Mke wake, Mama Mariam Mwinyi.(Picha na Maktaba).