Rais Dkt.Samia atimiza ahadi ya kukutana na viongozi wa kimila wa jamii ya Kimasai

ARUSHA-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Desemba 1,2024 amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wa kimila wa jamii ya Kimasai (Malaigwanani) wanaoishi Ngorongoro na maeneo jirani katika Ikulu ndogo ya Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wa kimila wa jamii ya Kimasai (Malaigwanani) wanaoishi Ngorongoro na maeneo jirani katika Ikulu ndogo ya Arusha leo Desemba 1, 2024.
Viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wale wa kimila wa jamii ya Kimasai (Malaigwanani) wanaoishi Ngorongoro na maeneo jirani wakiwa kwenye kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ndogo ya Arusha leo Desemba 1,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wa kimila wa jamii ya Kimasai (Malaigwanani) wanaoishi Ngorongoro na maeneo jirani katika Ikulu ndogo ya Arusha leo Desemba 1, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news