Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimvisha Salmin Kassim mkanda wa ubingwa wa WBF baada ya kushinda pambano dhidi ya mfilipino, Adrian Lerasan kwenye tukio maalum la pambano la ngumi la ‘Knockout ya Mama’ linalofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam, Desemba 26, 2024.
Tags
Habari
Knockout ya Mama
Ofisi ya Waziri Mkuu
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim