BENKI Kuu ya Tanzania ilianza kazi rasmi tarehe 14 Juni 1966. Sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho na kuwezesha kutungwa kwa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1978 na Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 1995. Kwa sasa, Benki Kuu ya Tanzania inaendesha shughuli zake kwa mujibu wa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006.Zaidi soma hapa》》》