Taarifa ya mwenendo wa Kimbunga CHIDO kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu na TMA
DODOMA-Ofisi ya Waziri Mkuu, kupitia Kituo cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura kwakushirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania inaendelea kutoa taarifa kuhusu mwenendo wa kimbunga “CHIDO” katika Bahari ya Hindi.