DAR-Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu ofisi ya msajili wa hazina, Amos Nnko amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Same, mkoani Kilimanjaro jana mchana Disemba 22, 2024, katika ajali hiyo pia binti wa kwanza wa Amos, Maureen Nnko amefariki dunia.