Treni ya umeme yasimama ghafla kutokana na hitilafu Gridi ya Taifa
Treni ya SGR iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma imelazimika kusimama kwenye Stesheni ya Kilosa baada ya umeme kukatika kutokana na hitilafu katika Gridi ya Taifa leo Desemba 4,2024.