VIDEO:Goli la Mama hadi Arsenal

VIDEO ya msanii Madee Ali maarufu Madee akimtambulisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ndani ya uwanja wa Emirates mbele ya mashabiki wa Arsenal imevuta hisia ya wengi ndani na nje ya Tanzania.
"Tunakila sababu kumsapoti Rais Samia Suluhu Hassan hasa kwenye sekta ya michezo na tunaona juhudi zake anavyosukuma michezo.

Kwa mara ya kwanza jana, Madee amemtambulisha Rais Samia kwa mashabiki wa Arsenal na ameahidi kuanzia mechi ijayo kutakua na goli la Mama Arsenal ikifunga kama iliyvo 2025 Arsenal Bingwa basi hivyo hivyo 2025 Mama ni Bingwa anayesubiri kukabidhiwa kombe lake.Acha bendera ipepeeee;
Ikumbukwe kuwa, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imeweka kipaumbele kikubwa katika michezo na vijana wanaendelea kuneemeka kupitia vipaji vyao.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news