DAR-Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana,Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe.Ridhiwani Kikwete leo ameshiriki hafla ya utoaji wa Tuzo za Wafanyakazi wa Kampuni ya MM Connect ambayo ni wakala wa Kampuni ya Simu ya Vodacom.

"Nawapongeza na Serikali yenu itaendelea kuwaangalia na kuwasaidia wafanyabiashara nchini."
TAZAMA VIDEO