MOMBASA-Timu ya Bunge la Tanzania ya Vishale wanawake na wanaume imetoka kimasomaso baada ya kuzigaragaza Timu za Mabunge Kenya, Uganda na Rwanda.
Timu hizo zinashiriki katika mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayofanyika Mombasa nchini Kenya.